1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watumishi wa serikali Tanzania walioko Ngorongoro wahamishwa

25 Agosti 2023

Serikali ya Tanzania imeanza tena kuwahamisha waajiriwa wake walioko katika hifadhi ya Ngorongoro kama sehemu ya juhudi za kuwaondoa watu wote eneo hilo la uhifadhi wanyama pori. Ahmad Juma alizuru hifadhi hiyo na anasimulia zaidi.

https://p.dw.com/p/4Vama