1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watu zaidi ya 500 wadaiwa kuuwawa hospitalini Gaza

18 Oktoba 2023

Zaidi ya watu 500 wameripotiwa kuuwawa katika shambulizi lililonga hospitali huko Ukanda wa Gaza. Pande zote mbili Hamas na Israel zinashutumiana kufuatia shambulizi hilo.

https://p.dw.com/p/4Xg8m