1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watu 3 wafariki kwa kutokwa damu puani mkoa wa Lindi

Salma Mkalibala13 Julai 2022

Siku moja baada ya serikali ya Tanzania kutuma timu ya afya kwenda kuchunguza ugonjwa wa ‘ajabu’ wa kutokwa na damu puani Kusini mwa Tanzania, watu watatu wamethibitishwa kufariki kutokana na ugonjwa huo mkoa wa Lindi. Baadhi ya wakaazi wamepokea kwa mshtuko taarifa ya uwepo wa maradhi hayo yasiyojulikana. Sikiliza ripoti ya Salma Mkalibala.

https://p.dw.com/p/4E5Ef