1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watoto wengi wanaoishi kwenye majanga hawaendi shule

19 Septemba 2018

Ripoti mpya iliyotolewa na shirika la kuhudumia watoto duniani, UNICEF inaonesha kuwa mmoja kati ya watoto watatu wenye umri wa miaka 5 hadi 17 wanaishi katika nchi zilizoathiriwa na mizozo na majanga, na milioni 104 kati yao hawako mashuleni.

https://p.dw.com/p/35Bm6