1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

WATOTO WANYANGANYWA SILAHA:

18 Januari 2004
https://p.dw.com/p/CFi6
MONROVIA: Shirika la Umoja wa Mataifa-UNICEF limeanzisha kampeni kuu ya kuwanyanganya silaha wale watoto waliopigana vitani pamoja na waasi na vikosi vya serikali nchini Liberia.