1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watanzania walalamika juu ya ongezeko la bei ya mafuta

George Njogopa1 Septemba 2021

Kumekuwa na malalamiko kutoka kwa watu wa kada mbalimbali nchini Tanzania wanaohofia kupanda kwa gharama za maisha baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji- EWURA kupandisha bei ya nishati ya mafuta ikiwa muda mfupi tu baada ya serikali kupunguza tuzo ya miamala ya simu.

https://p.dw.com/p/3zlVO