1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wasichana wa mitaa ya mabanda na madhila yanayowakabili

25 Mei 2022

Mtaa wa mabanda wa Namuwongo ni miongoni mwa maeneo kubwa yenye makazi duni katika mji mkuu wa Uganda Kampala. Wasichana wachanga ndio wahanga wakubwa wa mimba za utotoni kwenye mitaa hiyo. Kwa wengi, shinikizo la maisha huwalazimisha kuacha shule hali inayofifisha ndoto zao za baadaye. Video hii iliyoandaliwa na Ibrahim Swaibu ina mengi zaidi.

https://p.dw.com/p/4BroH