1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wasichana 800 walikeketwa Tanzania Desemba

Zainab Aziz Salim-Mtullya6 Januari 2017

Zaidi ya wasichana 800 walikeketwa kaskazini mwa Tanzania Desemba 2016 licha ya jitihada kadhaa za polisi dhidi ya vitendo hivyo. Msikilize Zainab Aziz akimhoji Eddah Sanga mkurugenzi mtendaji wa shirika la waandishi wa habari wanawake Tanzania TAMWA.

https://p.dw.com/p/2VOm2