1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Washukiwa kutofikishwa mahakamani Uganda

Lubega Emmanuel17 Januari 2022

Katika makala yetu ya mbiu ya mnyonge tunangazia hali ambayo imewatia wasiwasi familia za watu 59 wanaodaiwa hawajulikani waliko kwa miezi kadhaa baada ya kukamatwa na polisi. Yeyote akisikia kuwa mtu anayemfahamu amekamatwa, hatua ya kwanza ni kutafuta kule alikopelekwa na pia kufuatilia kuhusu makosa aliyoyafanya.

https://p.dw.com/p/45cpB