1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wapinga mapendekezo ya sheria ya wagombea urais, DRC

Mitima Delachance HON29 Machi 2023

Mamia ya wafuasi wa chama cha upinzani cha Ensembe kinachoongozwa na mwanasiasa Moise Katumbi nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wamefanya mkutano wa hadhara mjini Bukavu huko Kivu Kusini kupinga pendekezo jipya la sheria inayohusu uraia wa wagombea urais nchini humo. Mwandishi wetu wa Bukavu, Mitima Delachance alikuwepo kwenye mkutano huo, na hii hapa ripoti yake.

https://p.dw.com/p/4PSGv