1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wapiganaji wa haki za binaadamu wafaidika na teknolojia mpya

5 Januari 2022

Makala ya sema uvume kinajikita katika Mradi ujulikanao kama ‘digital human rights lab’ uliotoa mafanikio hasa katika kipindi cha zuio la watu kutotangamana kwa ajili ya kudhibiti kusambaa kwa ugonjwa wa COVID-19. Wanaharakati Uganda wamefaidika nao kwa kuwafikia waathirika wengi zaidi bila kuhatarisha maisha yao na kuwezesha mawasiliano mubashara.

https://p.dw.com/p/45AmE