1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wapenzi wa jinsia moja wanaongoza kwa maambukizi ya Ukimwi Nakuru, Kenya

Wakio Mbogho7 Julai 2021

Asilimia 70 ya watu walioambukizwa virusi vya Ukimwi katika eneo la Nakuru nchini Kenya ni kati ya makahaba na watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja. Kadhalika maafisa wa afya wanaelezea changamoto za kidini katika kuyakabili maambukizi haya.

https://p.dw.com/p/3w9Lx