1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake wazoa nafasi muhimu katika uchaguzi wa Kenya 2022

23 Agosti 2022

Katika Kinagaubaga Rashid Chilumba anaangazia nafasii zilizochukuliwa na wanawake katika uchaguzi uliomalizika hivi karibuni nchini Kenya. Kaunti 7 kati ya 47 zimewachagua wanawake kuwa magavana wao. Miongoni mwa walioshinda kiti hicho ni Wavinya Ndeti, Gavana mpya katika kaunti ya Machakos, amemuuliza je amejipanga vipi kutimiza matarajio ya wapiga kura katika kaunti yake?

https://p.dw.com/p/4Fvio