1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake watakiwa kujisogeza katika nafasi za kutoa maamuzi

Sylivanus Karemera21 Juni 2022

Siku mbili kabla ya mkutano wa kilele wa marais wa nchi za jumuiya madola kufanyika Kigali Rwanda, umefanyika mkutano mkuu wa wanawake viongozi kutoka nchi za jumuiya hiyo ya madola. Wanawake wamewataka wanawake wenzao kujiamini na kuhakikisha wanajisogeza katika nafasi za kutoa maamuzi. Sikiliza ripoti ya Sylivanus Karemera kutoka Kigali.

https://p.dw.com/p/4Czmf