1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake wanavyotumia njia za uzazi wa mpango kwa usiri

Hawa Bihoga
29 Septemba 2021

Makala ya wanawake na maendeleo inaangalia namna wanawake mkoani Tabora wanavyotumia njia za uzazi wa mpango kwa usiri mkubwa. Uzazi wa mpango ni muhimu kwa mtu binafsi kwa sababu ni nyenzo za kufanya maamuzi kuhusu idadi ya watoto. Msimulizi ni Hawa Bihoga.

https://p.dw.com/p/411zs