1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake wanaopasua kokoto Shinyanga

VERONICA NATALIS / MMT3 Machi 2017

Nani kasema kwamba wanawake hawawezi kufanya kazi ngumu za mikono? Mwandishi wetu wa Shinyanga, Veronica Natalis, ametembelea eneo la Old Shinyanga na kukutana na wakina mama wanaopasua kokoto na kuziuza kwa ajili ya shughuli za ujenzi.

https://p.dw.com/p/2YZna
Paul Raheli, mkazi wa Old Shinyanga
Paul Raheli, mkazi wa Old Shinyanga. Ana umri wa miaka 22, ameolewa na ana watoto watatu. Hapa anajaza kokoto katika ndoo ndogo tayari kwa kuuza, ndoo moja huuzwa shilingi mia mbili za Kitanzania.Picha: DW/V.Natalis
Maeneo yenye mawe Shinyanga
Maeneo yenye mawe Shinyanga Picha: DW/V.Natalis
Bibi Modester Magohe mwenye umri wa miaka 67 akiwa katika shughuli zake za kuponda kokoto nyumbani kwake
Bibi Modester Magohe mwenye umri wa miaka 67 akiwa katika shughuli zake za kuponda kokoto nyumbani kwakePicha: DW/V.Natalis