1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake wa Afghanistan waelezea maisha yao kupitia uchoraji

12 Julai 2023

Wasanii na waandaaji wa maonyesho ya uchoraji walijiweka hatarini, ili kupanga usafirishaji wa picha za kuchora kutoka kwa wanawawke nchini Afghanistan. Lakini je, unadhani hatua hii ina thamani sawa na hatari waliyojiweka?

https://p.dw.com/p/4Tm4K