1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake na utamaduni wa 'upatu'

Carolyne Robi Tsuma9 Oktoba 2015

Ungana na Caro Robi kweye makala hii ya "Wanawake na Maendeleo" akizungumzia utamaduni wa upatu miongoni mwa wanawake katika jamii za Afrika Mashariki ambao umekuwepo kwa muda mrefu na umekuwa moja ya njia za kuwawezesha kukimu maisha yao.

https://p.dw.com/p/1GlrT