1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake na Maendeleo inakiangazia kikundi cha "Anzia Sokoni"

9 Agosti 2023

Ni mkusanyiko wa wajane, wanawake waliotelekezwa na wanaume na waliotokea kwenye mazingira magumu mitaani,waliopiga hatua kuendeleza kujikwamua kimaisha kwa kufanya biashara mbali mbali. Ahmad Juma amewatembelea na kutuandalia Makala hii ya wanawake na Maendeleo.

https://p.dw.com/p/4Uwao