1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake wakulima wa Kakao Morogoro

Veronica Natalis
24 Machi 2021

Umoja ni nguvu! Kutana na wanawake wanaolima Kakao mkoani Morogoro, Tanzania. Wanawake hao wanaojikwamua kiuchumi kupitia kilimo cha zao hilo, waliunda umoja wao wenye takribani wanachama 40 ulioanzishwa miaka 11 iliyopita. Video na Veronica Natalis

https://p.dw.com/p/3r2mT