1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake wa mipakani wanavyotumia fursa ya biashara

Seif Omar Upupu16 Desemba 2015

Wanawake wanaoishi kwenye mipaka ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wanasifika kwa kuwa wajasiriamali ambao wanaitumia fursa ya kuwapo kwao mpakani kuunganisha maisha baina ya mataifa yao na kuifanya ndoto ya ushirikiano wa jumuiya hiyo kuwa ya kweli.

https://p.dw.com/p/1HO95