1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
AfyaEthiopia

Vita vya Tigray vya waacha wanawake katika hali mbaya ya kuchanganyikiwa

23 Oktoba 2023

Vita vya Tigray vinaweza kumalizika, lakini wanawake wengi bado wanapambana na athari ya muda mrefu ya hali mbaya ya kuchanganyikiwa. Wauguzi kama Mulu Mesfin sasa wako mstari wa mbele kuelekea kupona.

https://p.dw.com/p/4Xv2Q