1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake Ghana wakataa wakunga wanaume

Bruce Amani Alakonya1 Machi 2017

Serikali ya Ghana imeufuta mpango wa majaribio ulioruhusu wanaume kupewa mafunzo ya kuwa wakunga. Hii ni kwa sababu baadhi ya wanawake hawapendi kuhudumiwa na wakunga wa kiume wakati wakiwa wajazito.

https://p.dw.com/p/2YQWm