1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake CHADEMA wadai kutendewa vibaya mahabusu

9 Agosti 2021

Baraza la Wanawake la chama cha kikuu cha upinzani nchini Tanzania (CHADEMA) limelishutumu jeshi la polisi kukiuka haki za baadhi ya wanawake wa chama hicho wanaoshikiliwa katika mahabusu mbali mbali, lakini jeshi hilo linakanusha madai hayo. Sikiliza ripoti ya Hawa Bihoga.

https://p.dw.com/p/3ylOR