1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanasiasa, wanaharakati Tanzania wajadili sheria za uchaguzi

Florence Majani16 Novemba 2023

Mjadala wa kitaifa juu ya miswada ya sheria ya uchaguzi na sheria ya vyama vya siasa iliyopelekwa bungeni hivi karibuni nchini Tanzania, umefanyika huku wadau wa siasa, jinsia na wanahabari, wakitaka sheria ya uchaguzi iweke bayana kwamba mgombea urais lazima awe amepata kura zaidi ya asilimia 51. Sikiliza ripoti ya Florence Majani.

https://p.dw.com/p/4Yvan