MuzikiWanamuziki wa Afrika Mashariki Jukwaani UjerumaniTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoMuzikiSudi Mnette05.09.20185 Septemba 2018Katika kipindi cha "Karibuni" msikilize Lucie Ilado mwandishi habari wa sanaa na muziki kutoka Kenya, ambae ana lengo la kupanuwa wigo wa muziki asilia wa eneo hilo kwenye jukwaa la kimataifa.https://p.dw.com/p/34N8SMatangazo