1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanahabari Tanzania wajipanga upya kujilinda

4 Aprili 2019

Kuibuka kwa wimbi la mashambulizi ya aina mbalimbali dhidi ya wanahabari nchini Tanzania kunawaunganisha sasa wadau wa sekta hiyo kusaka mikakati ya kujilinda na kulindana wenyewe kwa wenyewe. Ahmad Juma anaarifu kutokea Dar es Salaam. Kurunzi 04.04.2019.

https://p.dw.com/p/3GEmA