1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanafunzi wachache waripoti shule za sekondari, Tanzania

20 Januari 2023

Nchini Tanzania mjadala mkubwa unaendelea kufuatia idadi kubwa ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha kwanza kushindwa kuripoti katika shule walizopangiwa hali ambayo imefanya baadhi ya mamlaka nchini humo kuanzisha kampeni maalumu ya kuwatafuta wanafunzi hao. George Njogopa alituandalia taarifa zaidi kutoka Dar es Salaam.

https://p.dw.com/p/4MTlJ