1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakuu wa EAC kukutana, kujadili changamoto

19 Mei 2017

Wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wanakutana kesho Jumamosi kwenye mkutano wa kilele Jijini Dar es Salaam, Tanzania. Jumuiya hiyo inakabiliwa na changamaoto lukuki ambazo ni pamoja ukosefu wa fedha na mizozo. Zainab Azizi amezungumza na mchambuzi wa masuala ya siasa ambaye pia ni mratibu mipango wa Wakfu wa kijerumani wa KonradAdenaur nchini Tanzania Richard Shaba

https://p.dw.com/p/2dGOg