1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakonta anatumia ulimi,teknolojia kuandika

10 Februari 2023

Wakonta Mapunda ni msichana ambaye anachangamoto ya ujongevu lakini, haijamzuia kuweza kufikia malengo yake.Kwakutumia ulimi na teknolojia kuandika sasa anamiliki biashara na kufurahia maisha yake.

https://p.dw.com/p/4NKNR