1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakimbizi wakita kambi katika ofisi za UNHCR, Afrika Kusini

Bryson Bichwa28 Julai 2022

Sakata la wakimbizi 71 wa Kiafrika waliopiga kambi nje ya uzio wa ofisi za shirika la kimataifa la kuwahudumia wakimbizi UNHCR tawi la Afrika Kusini, limeibuka tena huku mahakama ikitoa tamko linalowataka wakimbizi hao watoke eneo la ofisi za shirika hilo, kabla ya tarehe 4 mwezi ujao. Sikiliza ripoti ya Bryson Bichwa kutoka Pretoria.

https://p.dw.com/p/4EnQP