1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakenya wanaoishi nje wasajiliwa kupiga kura

21 Januari 2022

Kwa mara ya kwanza Wakenya wanaoishi katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wataweza kusajiliwa kupiga kura kwa kutumia vitambulisho vya taifa wala sio hati za kusafiria.Shughuli ya kuwasajili wapiga kura walioko nje ya mipaka ya Kenya inaanza leo hadi mwanzoni mwa mwezi ujao wa Februari. Isikilize ripoti ya Thelma Mwadzaya kutoka Nairobi.

https://p.dw.com/p/45umE