1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakenya walioko nje ya nchi pia wapiga kura

9 Agosti 2022

Na sio nchini Kenya pekee ambako raia wa nchi hiyo wamepiga kura. Hata nje ya mipaka shughuli hiyo inaendelea. Wakenya walioko Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa maana ya nchi jirani za Burundi, Tanzania, Rwanda, Sudan Kusini, Uganda, na pia walioko Afrika Kusini, Uingereza, Canada, Marekani, Qatar, Umoja wa Falme za Kiarabu na Ujerumani nao pia wanashiriki katika shughuli ya kupiga kura.

https://p.dw.com/p/4FJbu

Bruce Amani amezungumza na Thomas Kalunge, Mkenya anayeishi katika mji kuu wa Ujerumani, Berlin ambako alipiga kura yake mapema Jumanne katika Ubalozi wa Kenya ulioko mjini Berlin.