1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakenya wajiandaa na Uchaguzi

3 Agosti 2022

Wakenya wanajiandaa kwa uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Jumanne ijayo. Baadhi wamevitembelea vituo vya kupigia kura ili kuhakikisha ikiwa majina yao yapo kwenye daftari la wapiga kura walikosajiliwa.

https://p.dw.com/p/4F57c