1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakenya waendelea kusubiri matokeo ya uchaguzi

11 Agosti 2022

Mchuano wa matokeo ya uchaguzi mkuu wa Kenya bado ni mkali kati ya wagombea wawili wakuu wa nafasi ya urais, ambao ni Raila Odinga wa muungano wa Azimio la Umoja na William Ruto kutoka muungano wa Kenya Kwanza. Grace Kabogo amezungumza na mwandishi wetu wa Nairobi, Shisia Wasilwa ambaye anaelezea taswira ya wagombea hao wawili kulingana na matokeo yaliyotangazwa hadi sasa na Tume ya Uchaguzi IEBC.

https://p.dw.com/p/4FOoU