1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakati gani wa kuachana na mahusiano yanayokuweka roho juu

Rashid Chilumba18 Juni 2020

Kuachana na mpenzi uliyetumai atakuwa mwenza wa maisha siyo jambo rahisi. Lakini vipi mahusiano yanapopitia mawimbi yasiyo na mwisho. Dharau, vipigo, kuvunjiana heshima au hata usaliti. Bila shaka ni sharti kuwe na mstari mwekundu kwenye mahusiano. Ama sivyo? Makala ya vijana mchaka mchaka inatathmini ni wakati upi mwafaka wa kuyapa kisogo mahusiano yanayokuweka roho juu.

https://p.dw.com/p/3dyUt