1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waingereza waandamana kumpinga Trump

13 Julai 2018

Maelfu ya Waingereza wamekusanyika kumpinga rais wa Marekani aliyeko ziarani nchini mwao. Trump anafanya ziara ya siku nne ambapo amekutana na Waziri Mkuu Theresa May.

https://p.dw.com/p/31PuZ