1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wahariri wa Ujerumani waizungumziaje Afrika?

Zainab Aziz20 Januari 2023

Ungana na Zainab Aziz aliyekuandalia mengi kuhusiana na mambo yaliyoandikwa na magazeti ya Ujerumani kuelekea Afrika katika makala ya Afrika katika magazeti ya Ujerumani, kuanzia mgogoro wa umeme nchini Afrika Kusini na mengineyo mengi. Sikiliza zaidi ukibonyeza hapa.

https://p.dw.com/p/4MVN4