1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wahariri Ujerumani wamzungumzia Felicien Kabuga

22 Mei 2020

Kukamatwa kwa mmoja wa washukiwa wakuu wa mauaji ya kimbari ya Rwanda ya mwaka 1994, Felicien Kabuga, ni miongoni mwa maswala muhimu yanayohusu bara la Afrika yaliyoangaziwa na wahariri wa magazeti ya Ujerumani kwa juma hili. Zainab Aziz anasimulia kwenye Afrika katika Magazeti ya Ujerumani.

https://p.dw.com/p/3cdMp