1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wahanga wa uchaguzi waanza kuachiwa huru Uganda

Lubega Emmanuel29 Aprili 2021

Shinikizo kutoka ndani na nje ya Uganda la kuitaka serikali kuwatendea haki watu inaowashikilia baada ya uchaguzi nchini humo hatimaye kwa kiasi fulani limezaa matunda na hasa baada ya watu kutoka upinzani kuanza kuachiwa. Mengi zaidi utayasikia hapa kwenye makala ya Mbiu ya Mnyonge iliyoandaliwa na Lubega Emmanuel kutoka huko Uganda.

https://p.dw.com/p/3sjyO