1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wahanga wa mihadarati na changamoto zao kule Moshi Tanzania

VERONICA NATALIS30 Oktoba 2023

Makala ya Vijana Tugutuke safari hii inaangazia kadhia ya vijana kujihusisha na dawa za kulevya. Veronica Natalis amezuru mtaa wa Njoro kule Moshi Kilimanjaro nchini Tanzania na anakutana na wahanga wa mihadarati. Changamoto zao na juhudi za kujikwamua kutokana na janga hilo ni zipi? Hebu sikiliza.

https://p.dw.com/p/4YBhK