1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wagombea urais DRC waanza kurejesha fomu

Jean Noël Ba-Mweze
11 Septemba 2023

Wagombea urais katika uchaguzi mkuu wa Disemba mwaka huu huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wameanza kurejesha fomu za kuwania nafasi hiyo. Tume Huru ya Uchaguzi, CENI imeanza kupokea maombi ya kwanza kabisa na wagombea wana mwezi moja tu wa kuwasilisha kwenye ofisi iliyoko mjini Kinshasa. Mwandishi wetu wa Kinshasa, Jean Noël Ba-Mweze alishuhudia kurejeshwa kwa fomu za waombaji wa awali.

https://p.dw.com/p/4WBuU