1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wafanyakazi wa umma watakaowania nyadhfa kwenye uchaguzi wajiuzulu Kenya

9 Februari 2022

Maafisa wa serikali ya Kenya wanaotaka kuwania nyadhifa za kisiasa kwenye uchaguzi mkuu wa Agosti tisa, wanatakiwa kujiuzulu kufikia mwisho wa Jumatano. Ni kufuatia uamuzi wa mahakama ya rufaa hapo Jumanne. Tayari mawaziri kadhaa na makatibu watendaji wameshajiuzulu. John Juma amezungumza na Dr. Alutalala Mukhwana, wakili ambaye pia ni mchambuzi wa sheria, siasa na utawala.

https://p.dw.com/p/46jiY