1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wafanyabiashara Tanzania wasisitiza haja ya viwanda

Hawa Bihoga (Hon)3 Machi 2020

Baadhi ya wafanyabiashara Tanzania wameyataka mataifa ya Afrika kuwekeza kwenye viwanda ili kukabiliana na changamoto za uhaba wa bidhaa pindi majanga kwenye mataifa wazalishaji duniani yanapojitokeza, hasa baada ya China kupunguza uzalishaji wa bidhaa kutokana na mripuko wa virusi vya corona.

https://p.dw.com/p/3YnIU