1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wafahamu "polisi" wa fasheni

Bruce Amani Alakonya/M T4 Aprili 2017

Kama wewe ni staa katika jamii, bila shaka unakuwa makini sana na kile unachokivaa kwa sababu kuna polisi wa fasheni ambao wanakufuatilia kwa karibu. Na wataweza kukumata kwa kukiuka sheria za fasheni. Yaani kama watakuwa na ushahidi kuwa haupendezi sana machoni mwa watu hasa mashabiki wako kutokana na kile ulichokivaa. Ni mada ya Bruce Amani katika Vijana Mchakamchaka.

https://p.dw.com/p/2aeIt