1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaMarekani

Wademocrat wazungumzia kushitakiwa rais wa zamani Trump

Amina Mjahid31 Machi 2023

WaDemocrat akiwemo spika wa zamani wa bunge la Marekani Nancy Pelosi wametoa maoni yao juu ya Baraza Kuu la mahakama ya New York kuidhinisha rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ashitakiwe kufuatia madai kuwa alimlipa muigizaji filamu za ngono Storym Daniel ili ayaweke siri mahusiano kati yao. Profesa David Monda anachambua

https://p.dw.com/p/4PZX6