1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wadau wazungumzia sheria ya habari Tanzania

15 Juni 2023

Bunge la Tanzania limeridhia baadhi ya marekebisho ya sheria ya vyombo vya habari ili kutoa nafasi na kufungua mazingira rafiki kwa waandishi habari kufanya kazi zao kwa wepesi. Miongoni mwa marekebisho ni kupunguza adhabu inayotolewa kwa waandishi habari. Je, Marekebisho hayo yana maana gani kwa wadau wa habari? Msikilize Nevil Meena kutoka Jukwaa la Wahariri Tanzania.

https://p.dw.com/p/4Sb4N