1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wadau Tanzania wataka marekebisho ya sheria ya habari

Sudi Mnette17 Novemba 2021

Wadau wa habari Tanzania wamewasilisha serikalini mapendekezo mbalimbali ya mabadiliko ya sheria ya habari ya nchi hiyo kwa lengo la kuondosha vifungu kandamizi dhidi ya watoa huduma wa sekta hiyo. Sudi Mnette amezungumza na mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile

https://p.dw.com/p/436vk