1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wadau na hofu ya sheria ya TEHAMA, Uganda

Sudi Mnette14 Oktoba 2022

Baada ya Rais Yoweri Museveni wa Uganda kusaini kuwa sheria muswada tata wa matumizi mabaya ya TEHAMA, wadau wa sekta ya habari nchini humo wamekuwa na wasiwasi mkubwa katika utekelezaji wa majukumu yao. Kimsingi sheria hiyo inatoa adhabu ya hadi miaka 10 gerezani au faini ya pesa sawa na dola elfu nne kwa atakaefikwa na hatia. Mdau wa habari John Kibego alizungumza na Sudi Mnette.

https://p.dw.com/p/4ID29