1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wachambuzi wazungumzia mkanyagano wa mashabiki Cameroon.

Hawa Bihoga25 Januari 2022

Kufuatia msongamano wa mashabiki uliosababisha watu kukanyagana na kusababisha vifo na majeruhi kwa mashabiki wa mpira katika michuano ya mataifa ya Afrika AFCON nchini Cameroon, baadhi ya wafuatiliaji wa soka wamesema tukio hilo linatakiwa kuwa funzo kwa waandaaji wa michezo kuzingatia usalama wa mashabiki, kama anavyosema mchambuzi wa michezo wa nchini Tanzania, Masta Tindwa.

https://p.dw.com/p/462yE